Tuesday, August 2, 2016

Zoezi la ugawaji vyandarua kukabiliana na Malaria laendelea kisiwani Pemba

Zoezi la Ugawaji wa Vyandaruwa kwa ajili ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria ukiendelea katika eneo la Mkoroshoni Chake Chake Pemba. Picha na Hamad Shapandu - Maelezo -Pemba.