Saturday, September 24, 2016

Kikosi cha Timu ya Malindi Kilichotowa Upinzani kwa Timu za Afrika

Waliosimama kutoka kulia Kocha Hussein Kheir, Haji Sheha, Amour Azizi, Rashid Tall, Hassan Mrisho Wembe, Ali Bushiri "Tanzania One", Meneja wa Timu hiyo Naushad Mohammed waliochuchumaa kutoka kushoto, Ali Shariff "Adolf" Mbegu Mohammed, Ali Nassor "Kibichwa" wengine utamalizia wewe........