Habari za Punde

Maandalizi ya Sala ya idd el Hajj na Baraza laa la Idd kitaifa yakamilika Mkoani, Pemba

 Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - el haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa  Swala ya Idd -el-Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Swala ya Idd - El - Haj Kitaifa , Abdul Suleiman Mpechi,akiwaonesha wajumbe wa kamati ya Swala ya Iddi na Baraza la Idd, Uwanja ambao unatarajiwa kuswaliwa  Swala ya Idd-el Haj Kitaifa mwaka huu 2016 huko Mkoani Pemba.
  Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akizungumza jambo kwa wajumbe wa kamati ya Swala ya Idd-El-Hajj Kitaifa, juu ya matayarisho ya Swala hiyo huko katika Skuli Mpya ya Mkanyageni eneo ambalo linatarajiwa kufanyika Baraza la Iddi Kitaifa.
 Wajumbe wa Kamati ya Swala ya Idd -El-Hajj Kitaifa , wakimsikiliza  Katibu wa kamati hiyo ambae pia  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais , Katiba , Sheria , Utumishi wa Umma na utawala bora , Haruna Ali Suleiman.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Katiba, Sheria , Utumishi wa Umma na Utawala bora ambae pia ni Katibu wa Kamati hiyo , akizungumza jambo kuhusiana na matayarisho ya Swala na Baraza la Idd yanavyoendelea katika Wilaya ya Mkoani -Pemba.

Picha na Hanifa  Salim -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.