MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk
Khatib, akizungumza na Waandishi wa habari na viongozi wa PPC, katika hafla ya
kukabidhi vifaa mbali mbali kwa viongozi wa Redio jamii za Pemba, vilivyotolewa
Klabu ya waandishi wa Habari Pemba (PPC).(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk
Kharib, akimkabidhi laptop meneja wa Radio Jamii Mkoani Ali Massoud Kombo, kwa
ajili ya kufanyia vipindi mbali mbali vya redio, katika utekelezaji wa mradi wa
miezi tisa unaojulikana kwa jina la Sauti yangu Mtaji wangu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk
Kharib, akimkabidhi Projekta Makamo Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari
Pemba (PPC)Ali Haji Mwadini, katika utekelezaji wa mradi wa miezi tisa
unaojulikana kwa jina la Sauti yangu Mtaji wangu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na
Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja, akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani
Pemba, katika hafla ya kuwakabidhi vifaa viongozi wa Radio jamii Micheweni na
Mkoani, vilivyotolewa na Klabu wa Waandishi wa habari Pemba (PPC)katika
utekelezaji wa mradi wa miezi tisa unaojulikana kwa jina la Sauti yangu Mtaji
wangu.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Mhe:Salama Mbarouk
Kharib, akisalimiana na waandishi wa habari Kisiwani Pemba, mara baada ya
kuzungumza nao na kukabidhi vifaa mbali mbali kwa viongozi wa Resio Jamii zilizopo
Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment