Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar es Salaam leo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim
 Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Mkutano wa Baraza la Mawaziri uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam leo
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016
(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.