MJUMBE wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya
Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa, ambaye ni Mwakilishi wa Jimbo la
Tunguu Mhe:Simai Mohamed Simai(Mpaka basi), akimwangalia Mjumbe mwenzake
mwakilishi wa Viti Maalum kutoka Kaskazini Unguja Mhe:Mtumwa Suleiman Makame,
wakati alipokuwa akipakasa ukili baada ya kutembelea kikundi cha Jiendeleze
maisha bora Wingwi.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment