Habari za Punde

Khadija Kopa Kudodosha Burudani Kwenye Usiku wa Mshikemshike Mwanza.

Ni Malkia wa taarabu Tanzania, Khadija Kopa, atadondosha burudani kali#Live kwenye usiku wa Mshike Mshike ya 102.5 @lakefmmwanza ndani ya Villa Park Resort Jijini Mwanza, huku akiwa na bendi yake.

Ni Alhamisi tarehe 27.10.2016, Usikosee kwa mtonyo wa buku saba kabla ya saa tano usiku, na buku kumi baada ya saa tano usiku!
#Lakefm #LakeFmDjs #BMG #BinagiBlog #UsikuWaMshikeMshike

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.