Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), Rais
Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakiwapungia waumini wa Jumuiya ya
Waislamu wa Ahmadiyya (hawapo pichani) wakati walipokuwa wanawasili katika
Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya
Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masaunia ambaye alikuwa mgeni maalum
katika mkutano huo wa 47 wa jumuiya hiyo nchini, aliitaka Jumuiya hiyo pamoja
na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza
kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu
na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Kulia ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh
Tahir Mahmood Chaudhry. Picha zote na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waumini
wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya katika Mkutano wa 47 wa jumuiya hiyo nchini
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha
Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Rais Mstaafu
awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, anayefuata ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo
nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. Masauni katika hotuba yake aliitaka
Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia meza kuu)
akimsikiliza Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakati alipokuwa anatoa
hotuba yake katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha
Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya
hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto meza
kuu) na Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza Kiongozi
Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry
wakati alipokuwa anazungumza na waumini mbalimbali pamoja na wageni waalikwa
katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa
Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar
es Salaam. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika
hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akipokea
zawadi ya vitabu vya dini kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa
Ahmadiyya nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry wakati Naibu Waziri huyo
alipomaliza kuufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo wa 47 unaoendelea kufanyika katika
Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya
Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali
katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi
zingine za kidini nchini kuendeleza
kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu
na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sehemu
ya Waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini wakimsikiliza Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati
alipokuwa anatoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha
Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya
hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao
kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment