Habari za Punde

Rais Dk Shein alipohudhuria maonesho ya wiki ya vijana wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa kazi,Uwezeshaji Wazee,Vijana Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrus Castico wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali   wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali   wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni  wakati alipohudhuria katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea vitabu kutoka kwa Edgar Atubonekisye mara alipotembelea banda la Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiangalia ubunifu wa vifaa mbali mbali uliofanywa na Vijana wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa na Vijana kutoka Kisiwani Pemba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwashukuru Vijana kutoka Kisiwani Pemba kwa ushiriki wao katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,wakati alipotembelea maonesho hayo sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es Salaam wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapongeza  Vijana katika Mabanda ya maonesho ya Mkoa wa Dar es Salaam wanaotengeneza Viatu vya ngozi aina mbali mbali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika  katika viwanja vya sabasaba,sambamba na kumuenzi muasisi Mwalimi Julius k,Nyerere katika sherehe za kilele cha mbio za mwenge wa uhuru zilizofanyika Wilayani Bariadi Mkoa wa Simiyu jana.[Picha na Ikulu.]15/10/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.