Habari za Punde

Viongozi wa Timu ya Kilimani City Wakimpokea Mchezao Wao Hussein Mwinyi DECO Anayechezea Timu ya Taifa ya Serengeti Boy.Akitokea Jijini Dar es Salaam Alikokuwa na Timu hiyo Iliomaliza Michuano yake yas Kimataifa.Mchezaji wa Timu ya Kilimani City na Taifa ya Serengeti Boys Hussein Mwinyi (DECO) akiwasili katika bandari ya Malindi Zanzibar akitokea Jijiji Dar es Salaam alikokua akishiriki katika Timu ya Taifa ya Seregenti Boys ikiwakilisha Tanzania katika michuano ya Vijana  chini ya umri wa miaka 20 iliomaliza michuano hiyo hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.