Habari za Punde

ZRB ilipoamua kutekeleza majukumu yake!

Bodi ya Mapato Zanzibar "ZRB" katika kutekeleza majukumu yake ya kazi leo wamelifungia Shirika la Umeme Zanzibar "ZECO" kwa kushindwa kulipa deni la kodi ya Serikali  tukio lilitoke jana. Deni jhilo linasemekana kufikia Bilioni tatu zinazodaiwa na ZRB  

LIPA KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.