Habari za Punde

Documents zimeokotwa mwenyewe anatafutwa

MNAMO TAREHE 11/11/2016 MAJIRA YA SAA 10:00 HRS HUKO ENEO LA SERENGETI KIGAMBONI NIMEOKOTA BRIEFCASE YENYE DOCUMENTS ZIFUATAZO ZA MTU AITWAYE  AWATIF MOHAMED KHAMISI KAMA IFUATAVYO:

CHETI CHA KUZALIWA, 
CHETI CHA FORM FOUR KILICHOTOLEWA NA HAMAMNI SECONDARY SCHOOLS,

CHETI CHA FORM SIX KILICHOTOLEWA NA HAMAMNI SECONDARY SCHOOL,

ADMISSION LETTER ILIYOTOLEWA NA OSMANIA UNIVERSITY INDIA, 

PASSPORT SIZE MBALIMBALI,
DOCUMENTS MBALIMBALI ZINAZOHUSU AFYA,
RISITI MBALIMBALI PAMOJA NA KADI YA BIRTHDAY  

AWASILIANE NA MIMI 0716809797/0767183828/0786809797/ 0627748352/ 0738273501
 TAFADHALI NAOMBA TUSAMBAZE TUMSAIDIE MWENZETU  ALLAH AWABARIK

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.