Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho 
hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua 
juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya 
wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 
zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU
 

 
.jpeg) 
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment