Habari za Punde

Rais Dk Shein afungua majengo ya Dakhalia Chuo cha Ufundi Kengeja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipowasili Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana kufungua majengo ya Dakhalia chuoni hapo akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipofika kuzindua majengo ya Dakhalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja,Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuzindua majengo ya Dakhalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Kisiwani humo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi  katika Wizara Elimu na Mafunzo ya Amali Khamis Rashid mara baada ya kuzindua majengo ya Dakhalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja jana  akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma alipotembelea sehemu mbali mbali mara baada ya kuzindua majengo ya Dagkalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kutembelea sehemu mbali mbali za majengo ya Dakhalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana baada ua uzinguzi rasmi akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Dakhalia katika Chuo hicho,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika Chuo hicho,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Wananchi wa Vijiji vya shehia mbali mbali za Kengeja wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
 Wananchi wa Vijiji vya shehia mbali mbali za Kengeja wakiwa katika sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana ,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo, [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati sherehe ya ufunguzi wa majengo ya Daghalia katika Chuo cha Ufundi Kengeja, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya siku tano kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe,Mwanajuma Majid,na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma [Picha na Ikulu.] 05 Nov 2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.