Habari za Punde

Rais Dk. Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Wakuu wa  Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana  Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.
 Baadhi ya maafisa wa  Idara mbali mbali katika Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  wakiwa katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa  Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Uongozi wa  Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika jana  Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko  Rashid Ali Salum akitoa maelezo wakati wakujadili vifungu katika   kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana  Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] 02/11 /2016. 

 Waziri wa  Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Balozi Ali Abeid Aman Karume akisoma taarifa ya  utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2016-2017 katika  kikao  cha robo mwaka ya kwanza ya  Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana   Ikulu Mjini Unguja,chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) (kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee,[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi akitoa mchango wake  katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016, kilichofanyika jana  Ikulu Mjini Unguja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 02/11 /2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.