Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali
alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki
Pembe Juma (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahamoud pamoja na Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Kongamano la
Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati)
wakisimama pamoja na Viongozi wengine wa Meza Kuu wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro
ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika katika
ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani

Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara,Wakulima na Wenyeviwanda Zanzibar. Ndg Tofiq Salim Turky, akitowa hutuba kwa niaba ya Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Wafanyabiashara wa Tanzania na lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Cliff Mangapwani Zanzibar
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara,Wakulima na Wenyeviwanda wa Comoro akitowa hutuba kwa niaba ya Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Comoro wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Wafanyabiashara wa Tanzania na lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Cliff Mangapwani Zanzibar.
Rais wa Jumuiya ya Wafanyabiashara,Wakulima na Wenyeviwanda Tanzania akitowa hutuba kwa niaba ya Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Wafanyabiashara wa Tanzania na lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Cliff Mangapwani Zanzibar
Baadhi ya Wafanyabiashara wa Visiwa vya Comoro wakisimama ulipopigwa
Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara
baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa
Sea Cliff Mangapwani

Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na
Binafsi wakiwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff
Mangapwani
No comments:
Post a Comment