Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Taifa ya Jangombe na Kijichi Mchezo Uliofanyika Amaan Timu ya Taifa ya Jangombe Imeshinda Bao 1--0.

Wachezaji w Timu ya Kijichi wakisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe kabla ya kuaza kwa Mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika jana usiku uwanja wa amaan, Timu ya Taifa ya Jangombe imeshanda mchezo huo kwa bao. 1--0.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe wakiomba dua kabla ya mchezo wao na Timu ya Kijichi mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Timu ya Taifa ya Jangombe imeshinda bao 1--0.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.