Habari za Punde

Mafunzo ya siku moja watendaji wakuu wa Mfuko wa Jimbo Kisiwani Pemba

 WAKURUGENZI wa Mabaraza ya Miji, washika Fedha wa mifuko ya Jimbo na makatibu wao, wakimsikiliza kwa makani Naibu waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mihayo Juma N’hunga, wakati alipokuwa akifungua mafunzo juu ya matumizi ya Fedha za mfuko wa Jimbo zinazotolewa na Serikali.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Pemba, Salum Ali Matta, akizungumza na Viongozi watendaji mbali mbali wa mfuko wa Jimbo, katika mkutano wa siku moja huko katika ukumbi wa Tasaf Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe:Mihayo Juma N’hunga akifungua mafunzo ya siku moja watendaji wakuu wa Mfuko wa Jimbo Kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa Tasaf Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.