Habari za Punde

Mahafali ya 16 ya Chuo cha Abulrahaman Al-Sumait Memorial University Zanzibar (SUMAIT UNIVESITY)

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akisalimia na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Abdurahaman Al Muhalan alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Zanzibar kumuwakilisha Rais wa Zanzibar Dk. Shein katika Mahafali hayo, katikati Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Hamed Rashid Hikmany. Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Chukwani Zanzibar. 
Waziri wa Afya Zanzibar akisalimiana na Viongozi wa Uongozi wa Chuo cha Sumait Univesity Chukwani.katikati ni  Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Abdurahaman Al Muhalan Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo katikati na kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Hamed Rashid Hikmany. Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Chukwani Zanzibar. wakielekea katika viwanja vya mahafali hayo.
 Wahitimu ya Chuo cha Sumait Univesity wakiwa katika maandamano kuelekea katika viwanja vya mahafali katika chuo hicho chukwani Zanzibar.

 Msoma Quran aAbdallah Asaa Ali akisoma Quran kabla ya kuaza kwa mahafali hayo. ya 16 
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Hamed Rashid Hikmany. akizungumza wakati wa Mahafali hayo ya 16 ya Chuo cha Sumait Univesity yaliofanyika katika viwanja vya chuo hicho chukwani Zanzibar.
Profesa Mohammed Ali El kamil Makamu wa Chuo Kikuu cha IUA khartoum Sudan akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Mahafali ya 16 ya Chuo cha Sumait Univesity Zanzibar katika viwanja vya chuo hicho chukwani Zanzibar. 

 Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Abdurahaman Al Muhalan 
  
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Sumait Univesity Dkt. Abdurahaman Al Muhalan 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.