Habari za Punde

Tanzania Bloggers Network Tanzania (TBN) Wapata Elimu ya Kuendesha Bloggers Tanzania.


Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Foram Media Tanzania Ndg. Maxence Melo akitowa Mada kuhusu kuboresha katika Bloggers kwa  wamiliki wa Bloggers Tanzania wakati wa Mkutano Mkuu wa TBN ulioendana na senima na kuwa shirikisha Bloggers wa Tanzania Nzima waliokuwa Wanachama wa TBN. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es Salaam. leo.
Mtoa Mada Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Foram Media. Ndg Maxence Melo akisisitiza jambo wakati akiwasilisha Mada yake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa TBN Tanzania, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka 2016. uliofanyika katika ukumbi wa PSPF Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tanzania Bloggers Network Tanzania TBN wakifuatilia Mada hiyo wakati ikiwasilishwa wakati wa Mkutano Huo.
Wajumbe wakiwa makini wakifuatilia Mada hiyo wakati wa mkutano huo.


Wajumbe wa TBN wakimsikiliza Mtoa Mada katika semina hiyo iliowasilishwa na Maxence Melo kuhusiana na kuimarisha Bloggers kwa watu wanaotembelea Blogs wa Ndanin na Nje ya Tanzania

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.