Habari za Punde

Waziri Modline Castico Afungua Mkutano wa Pili wa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Abdulwakil Khafidh akitowa maelezo ya Mafanikio ya Mfuko kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Pili wa Wadau wa ZSSF, uliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa ZSSF Ndg Abdulwakil Khafidh  akitowa ufafanuzi wakati wa mkutano huo wa wapi wa wadau wa zssf uliofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi kikwajuni Zanzibar.  
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Dk Suleiman Rashid Mohammed, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Waziri wa Ajira Vijana Maendeleo ya Wanawake na Watoto Mhe. Moldiline Castico kufungua mkutano huo wa Wadau wa ZSSF Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.