Habari za Punde

Bado Kuna Baadhi ya Gari za Abiria Huchukua Abiria Kupita Uwezo Wake.

Kikosi cha Polisi Usalama barabarani kukataza kuchukua abiria kupita uwezo wa gari husika kuna baadhi ya madereva na utingo wa gari hizo hukiuka sheria hiyo na kuchukua abiria kupita kiasi na kuhatarisha usalama wa abiria hao kama ilivyokutwa gari hii ya daladala njia ya Mwanyanya ikiwa na abiria wakiwa wananing'inia katika kibao cha gari hiyo na kuhatarisha usalama wao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.