Habari za Punde

Hafla ya Kuwapongeza Mabingwa wa Soka wa ZBC Watoto Mapinduzi Cup Zanzibar Wilaya ya Wete U-17 Nyumbani kwa Balozi Dr Ali A Saleh

Balozi Dr Ali Ahmed Saleh akiwa na Mabingwa wa ZBC Zanzibar timu ya wilaya Wete Pemba nyumbani kwake Zanzibar baada ya tafrijaa ya kuwapongeza kwa ushindi wao katika Fainali ya Michuano ya Kombe la Watoto ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17  
Balozi Dr Ali Saleh akiwa pamoja na viongozi wa Mabingwa Wilaya ya Wete U17 Zanzibar wakifurahia kombe lao wakati alipowaalika kuwapongeza kwa ushindi wao 
Baadhi ya wachezaji wa Wete U17 wakisikiliza nasaha za viongozi baada ya tafrijaa ya kuwapongeza kwa ushindi wao katika Fainali ya Michuano ya Kombe la Watoto ZBC Watoto Mapinduzi Cup U-17  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.