Habari za Punde

Kamati ya Fedha ya Baraza la Wawakilishi Yatembelea Miradi ya Maendeleo Pemba.

Wajumbe wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Fedha, Ujenzi wakisikiliza maelezo ya ujenzi wa Ofisi tatu za Serikali zinazojengwa katika eneo la endelea Gombani Kisiwani Pemba
Ofisa Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ndg.Ibrahim Saleh Juma,akitowa maelezo kwa Kamati ya Fedha ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ikiwa katika ziara yake kutembelea miradi ya Serikali iliyoyopo kisiwani Pemba
Moja ya Ujenzi wa majengo ya Ofisi za Serikali katika eneo Gombani Kisiwani Pemba likiendelea na ujenzi wake huo kama linavyoonekana pichani ujenzi huo ukiendelea katika eneo hilo.  .
 Picha na Habiba Zarali -Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.