Habari za Punde

Kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar


 Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe,Dkt.Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (katikati) alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo wakati wa Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar(kulia) Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mji wa Unguja,Abrahman Khatib,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Willium Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa (katikati)  walipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo wakati wa Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar  (wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Kassim Majaliwa  Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo,[Picha na Ikulu.]12/01/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika Gari Maalum huku akiongozwa na Pikipiki za Polisi, akiwangia mkono wananchi waliohudhuria  katika Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Sherehe zilizofanyika leo huko Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Gwaride la Farasi likimsindikiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein alipoingia katika akiwa Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo katika Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Sherehe hizo zilihudhuriwa na Viongozi mbali mbali pamoja na Vyama vya Siasa,[Picha na Ikulu.]12/1/2017.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika Gari Maalum huku akiongozwa na Pikipiki za Polisi, akiwangia mkono wananchi waliohudhuria  katika Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,Sherehe zilizofanyika leo huko Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Lt.Co.Khamis Mohamed Adam  wakati akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba, [Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Maandamano ya Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakipita mbele ya Jukwaa wakati wa Sherehe za   Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

 Wizara za Serikali ya Mapinduzi wakiwa kattika maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

 Wizara za Serikali ya Mapinduzi wakiwa kattika maandamano wakati wa Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali wakisimama wakati Gwaride la Vikosi vya Ulinzi vikipita kutoa salamu ya heshma katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Wanawake kikipita kwa gwaride la mwendo wa pole mbele ya jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU kikipita kwa gwaride la mwendo wa pole mbele ya jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Wana​ume  kikipita kwa gwaride la mwendo wa ​haraka mbele ya jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 
 Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU kikipita kwa gwaride la mwendo wa haraka  mbele ya jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

Kikosi cha Jeshi la Mafunzo Zanzibar kikipita kwa gwaride la mwendo wa haraka  mbele ya jukwaa kubwa la Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo katika Sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]12/1/2017. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.