Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Malindi na Kilimani City Timu ya Malindi Imeshinda Bao 1-0.

Kiongozi wa Timu ya Malindi Kau akizungumza na wachezaji wake wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Malindi imeshinda mchezo huo kwa Bao 1-0,  
 Beki wa Timu ya Kilimani City akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Malindi imeshinda 1-0. 
Mchezaji wa Timu ya Malindi akiwa na mpira akimpita beki wa timu ya Kilimani City. Timu ya Malindi imeshinda bao 1-0. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.