Habari za Punde

Matukio Mitaani Zenj.

Eneo la barabara ya Darajani likiwa katika hali ya utulivu na kupungua kwa msongamano wa magari katika eneo hilo tafauti na siku za nyuma eneo hili lilikuwa na msongamano wa magari kwa wakati wa asubuhi na mchana kwa sasa likiwa katika mandhari ya utulivu kwa wananchi wanaofika katika marikiti ya Darajani kufuata mahitaji yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.