Habari za Punde

Meli ya kitalii yatia nanga Bandari ya Unguja

Meli ya Kitalii ikiwa katika bandari ya Malindi Zanzibar ikifunga gati ikiwa na Watalii kutoka sehemu mbalimbali ya Dunia waliofika Zanzibar kutembelea Sehemu za Kitalii na Historia ya Zanzibar. Zanzibar ni moja ya Nchi zenye vivutio mbalimbali vya historia na kivutio cha Watalii wanaofika kutembelea Visiwa vya Unguja. Kama inavyoonekana pichani ikiwa katika bandari hiyo. 
KUIMAIRIKA Kwa Bandari ya Malindi Zanzibar, imekuwa ni kivutio kikubwa cha meli mbali mbali kufunga gati katika bandari hiyo, pichani Meli kubwa ya kitalii ikiteremsha watalii na kuweza kutembelea maeneo mbali mbali yenye vivutio vya kitalii.(Picha na Abdi Suleiman)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.