Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na Mkuu wa Jeshi la Magereza jijini
Mbeya Kamishna Msaidizi Paul Kajida (kulia) wakati alipowasili kukagua shughuli
za uzalishaji thamani za ndani na sabuni katika gereza la Ruanda .Naibu Waziri
yupo jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Mkuu wa Kiwanda cha Gereza la Ruanda ASP Michael
Kuga, akisoma taarifa ya hali ya uzalishaji wa sabuni na thamani za ndani mbele
ya Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
wakati wa ziara ya kikazi ya ukaguzi wa shughuli za maendeleo zinazofanyika
katika magereza yaliyopo jijini Mbeya
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kushoto) akipata maelezo juu ya
utengenezwaji wa kiti kinachotengenezwa na wafungwa wa gereza la Ruanda
wakishirikiana na wataalamu wa Jeshi la Magereza.Naibu Waziri yupo jijini Mbeya
kwa ziara.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wakwanza kulia waliokaa), akiangalia picha za thamani za ndani zinazotengenezwa na wafungwa
wa Gereza la Ruanda wakishirikiana na wataalamu wa Jeshi la Magereza.Wengine
waliokaa baada ya Naibu Waziri ni Mkuu wa Kiwanda hicho,ASP Michael Kuga ,Kamanda
wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Jesuald Ikonko na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa
Mbeya Emmanuel Lukula.Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza alipotembelea Kiwanda cha sabuni
zinazotengenezwa na wafungwa wa gereza la Ruanda wakishirikiana na wataalamu wa
Jeshi la Magereza.Wanaomsikiliza ni Mkuu wa Kiwanda() na Mkuu wa Jeshi la
Magereza Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Paul Kajida
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akiangalia moja ya sabuni zinazozalishwa na
wafungwa wa Gereza la Luanda wakishirikiana na wataalamu wa Jeshi la
Magereza.Kulia ni Mkuu wa Kiwanda hicho().Naibu Waziri yupo jijini Mbeya kwa
ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA
MAWASILIANO YA SERIKALI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
No comments:
Post a Comment