Habari za Punde

Rais Dk Shein alifungua soko la matunda Wete Pemba katika Shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar

 Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Soko la Matunda na Ofisi ya Baraza la Mji Wete Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba ikiwa ni miongoni mwa Shamara shamara za Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi wa Soko hilo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji Wete, katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Soko la Matunda Wete leo katika Uzinduzi rasmi wa Soko hilo sambamba na Ofisi ya Baraza la Mji Wete, katika sherehe za shamara shamara za  Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapindzi Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.
 SOKO jipya la matunda na mboga mboga la Mjini Wete Pemba, ambalo limeshafunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwe ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe  kuashiria uzinduzi wa  Soko la Matunda   na Ofisi ya Baraza la Mji la Wete katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais  wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman (wa pili kushoto),[Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.
 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Nd,Radhiya Rashid wakati alipolitembelea Soko la Matunda Wete Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kulizindua rasmi leo katika Shamara shamra za Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 08Jan 2017.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada kulifungua soko jipya la matunda na mboga mboga lililopo Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi akiwa na viongozi kadhaa kwenye picha ya pamoja, mara baada ya kulifungua soko jipya la matunda na mboga mboga lililopo Wete, ikiwa ni sehemu ya maadhmisho ya miaka 53 ya mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.