Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya kuwasili kwa
ajili ya mazungumzo katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini
Addis Ababa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao katika moja ya katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa
Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi kabla ya
kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
(AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU)
mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

akitoka kwenye mazungumzo yake pamoja na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza
mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.

akizungumza jambo na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza
mazungumzo yao rasmi katika moja ya Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn wakati akitoka
kwenye mkutano wa AU mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment