Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Mafunzo na Malindi Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mafunzo Imeshinda bao 1--0.

Golikipa wa timu ya Malindi akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar  uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Timu ya Mafunzo imeshinda bao 1-0.
Mchezaji wa timu ya malindi akimiliki mpira wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya zanzinar uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar timu ya mafunzo imeshinda bao 1-0.
Mchezaji wa malindi na mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Mafunzo wakishangilia bao lao la kwanza na la ushindi dhidi ya Timu ya Malindi mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Timu ya Malindi imeshinda bao 1--0.
Kocha wa Timu ya Mafunzo akimfariji mchezaji wake ambae amaumiwa wakati wa mchezo huo wa ligi kuu ya zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.