Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Mgeni
wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kwa ajili ya kurejea nchini
kwake Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1 kabla ya kuondoka ma kurejea nchini kwake
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza
kuelekea kwenye ndege mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati nyimbo za Mataifa mawili
zilipokuwa zikipigwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Terminal 1.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
kabla hajapanda ndege na kurejea nchini kwake Uganda mara baada ya kumaliza
ziara yake hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni kabla hajapanda ndege na kurejea
nchini kwake Uganda mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza
kuelekea kwenye ndege mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakifurahia
jambo wakati walipokwenda kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal 1.
Mmoja
wa Mtumbuizaji Uwanjani hapo akionesha umahiri wake wa kupuliza Tarumbeta.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment