Habari za Punde

Waziri Mkuu Akiwa Viwanja vya Bunge Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mhe.Ridhiwani Kikwete wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge wakibadilishana mawazo wakati wa mapumziko ya mkutano wa Bunge unaoendelea Mkoani Dodoma, leo 
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete akifurahia jambo wakati akizungumza na Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo wakati wa mapumziko wakiwa katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 1, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.