Habari za Punde

Wizara ya Afya Kwa Kushirikiana na Mradi wa Global Health Supply Chain Yaandaa Warsha wa Siku Moja wa Kuboresha Miundombinu ya Usambazaji Dawa na Vifaa Tiba.

Mfamasia Mkuu wa Serikali Habib Ali Shariff akifungua warsha ya siku moja ya kuandaa mikakati ya kuboresha miundo mbinu ya usambazaji dawa, vifaa tiba na huduma za afya iliyofanyika Bohari kuu ya dawa Maruhubi Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya kuandaa mikakati ya kuboresha huduma za usambazaji dawa wakifuatilia mwendo wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa mafunzo wa Mradi wa Global Health Supply Chain (GHS) Matiko Mhoni Machagge akiwaeleza washiriki wa warsha hiyo malengo ya mradi katika kufanikisha huduma za afya.
Washiriki  wa warsha wakiwa katika mazoezi ya vikundi ili kuweza kutoa mapendekezo na maoni yao yatakayosaidia kufanikisha mpango huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.