Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi wa Michezo ya Majeshi Kati ya SMZ na Uhamiaji Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya SMZ Imeshinda bao 8--0

Wachezaji wa Timu za SMZ na Uhamiaji zikiingia Uwanja kwa ajili ya Uzinduzi wa mchezo wa Kwanza wa ufunguzi huo uliozikutanisha Timu hizo mbili za kutoka Zanzibar na Tanzania Bara, Timu ya SMZ imeweze kuonesha umahiri wake kwa kutowa Zawadi kwa Viongozi wa ZFA kwa ushindi wa kupata Uwanachama wa Kudumu wa CAF kwa kuonesha Zanzibar kiwango cha mpira kipo ndio maana wakapata Uwanachama huo na kuwa Mwanachama wa 55 wa CAF.
Katika mchezo huo wa ufunguzi Timu ya SMZ imetowa kipigo cha mabao 8--0 dhidi ya Timu ya Uhamiaji.



















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.