NAIBU Katibu Mkuu wa
UVCCM Zanzibar, Abdullghafar Idrisa akizungumza na vijana wa Umoja wa vijana
wa CCM Wilaya ya Mkoani, katika banda la Karafuu Chambani Kisiwani Pemba
Naibu Katibu Mkuu wa
UVCCM Zanzibar,Ndg. Abdullghafar Idrisa akikabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM
aliyejiunga na chama hicho, wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake huko
katika banda la Karafuu Chambani
Naibu Katibu Mkuu wa
UVCCM Zanzibar, Abdullghafar Idrisa akikabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM
aliyejiunga na chama hicho, wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake huko
katika banda la Karafuu Chambani
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM Kisiwani Pemba, wakimsikiliza
kwa makini Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Abdullghafar Idrisa Juma,
wakati alipokuwa akizungumza na vijana hao katika kikao cha Majumuiyo
kilichofanyika katika banda la Karafuu Chambani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment