Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Chwaka Stars na KVZ Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ Imeshinda 4--0.

Beki wa Timu ya Chwaka Stars akimpita mchezaji wa timu ya KVZ wakati wa mchezo waio wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja mchezo uliofanyika katika uwanja wa amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa bao 4--0.
Mchezaji wa Timu ya KVZ akimpita beki wa Timu ya Chwaka Stars wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa mabao 4--0. 
Mchezaji wa Timu ya KVZ akipiga mpira huku beki wa timu ya Chwaka Stars akicharibu kumzuiya wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar Kanda ya Unguja uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar. 






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.