Habari za Punde

Mafundi Mitambo wa ZBC Wapata Elimu ya Ufundi Kutoka CRTV Broadcasting &TV Kutoka kwa Wataalamu wa Kichina.

Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Bi Nassra Mohammed akifungua mafunzi ya kuwajengea uwezo Mafundi Mitambo wa ZBC yanayotolewa na Wataalamu wa Kichina , mafunzo hayo yanafanyika katika ukumbi wa jengo la ZBC rahaleo Zanzibar, kulia Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Uchumi katika Ubalozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar. na kushoto Fungi Mkuu wa Redio ZBC  Eng Ali Aboud Talib.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Bi Nasra Mohammed akifungua mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo mafundi mitambio wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC. 
Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Uchumi katika Ubalozi wa Jamuhuri ya Watu wa China uliopo Zanzibar mazizini Bwana Chen akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya kuwajengea uwezo mafundi mitambo wa Shirika la Utangazaji Zanzibar, mafunzo hayo yamefanyika ukumbi wa ZBC Rahaleo Zanzibar.  
Mafindi Mitambo wa Shirika la Utangazaji Zanzibar wakifuatilia ufunguzi wa mafunzo hayo yaliotolewa na wakufunzi kutoka Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar.kwa ajili ya kuwajengea uwezo na ufanisi katika utendaji wao wa kazi kila siku. 

Fundi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar Eng. Ali Aboud Talib akitowa shukrani wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo kwa kuwapa mafunzi ya kuwawezesha katika utendaji wa kazi zao za kiufundi.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.