Habari za Punde

Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba

 Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Bibi Salama Mbarouk Khatib, akiwa pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais na Watendaji wengine, wakiangalia maafa yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.

 Miongoni mwa Nyumba zilizoathirika kufuatia mvua kubwa zinazonyesha Kisiwani Pemba.
Baadhi ya vitu mbali mbali vikiwa vimewekwa pahala pamoja baada ya Nyumba kuingia maji huko katika kijiji cha Kipapo , Shehia ya Chonga kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha Kisiwani Pemba.
 Daraja lililokatika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha Nyumba zaidi ya 13 kuathirika na nyengine kuanguka.
Msaidizi wa makamo wa pili wa Rais Pemba, Amran Massoud Amran,akionyesha Daraja lilivyoathirika na mvua hiyo na kusababisha gari zinazotoka Mgelema kwenda Chake Chake kusitisha safari yake hapo.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, akikaguwa baadhi ya maeneo yaliothirika na mvua huko katika kijiji cha Kipapo shehia ya Chonga Pemba.

Picha na Marzouk Khamis -Maelezo -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.