AFISA mdhamini Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na
Michezo Pemba, Khatib Juma Mjaja akizungumza na wanafanyaki wa Vitengo mbali
mbali vilivyochini ya Wizara yake Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Wafanyakazi Wizara ya Habari Pemba
wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Zanzibar, Dr Amina Ameir
wakati alipokuwa akizungumza nao Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii, Utamaduni
na Michezo Zanzibar Dr Amina Ameir Issa, akizungumza na wafanyakazi wa Wizara
ya Habari Pemba, katika mkutano maalumu uliofanyika Katika Ofisi ya Wizara hiyo
Chake Chake Pemba. .(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
MWANDISHI wa Habri kutoka Idara ya Habari Maelezo
Pemba, Hamad Shapandu Mwinyi akitoa neneo la Shukurani kwa niaba ya waandishi
wenzake wa Habari, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Pamoja na Viongozi wa
Wizara ya Habari Zanzibar.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment