Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli Awaapisha Makatibu Wakuu, Mabalozi na Kamishna wa TRA Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini hati ya Kiapo ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Dkt. Leonard Akwilapo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimukabidhi nyezo za kufanyia Kazi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Leonard Akwilapo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Kitila Alexander Mkumbu  kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitia Saini Hati ya Kiapo ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Tanzania Profesa Kitila Alexander Mkumbu  kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kufanyia Kazi Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Tanzania Profesa Kitila Alexander Mkumbu  kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kufanyia kazi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Dkt. Ave Maria Semakafu  Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo ya Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kufanyia kazi Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kufanyia kazi Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kufanyia kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Edward Kichere 

 Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na waapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.