Habari za Punde

Skimu 7 za Umwagiliaji Wilayani barali Zatozwa Faini Kwa Kutozingatia Sheria ya Mazingira.

Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bwana Richard Muyungi akizungumza kwa niaba ya wajumbe wa Kikosi kazi cha kitaifa cha kutathmini  Ikolojia ya Mto Ruaha Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya.

Kikosi kazi cha kitaifa cha kutathmini  Ikolojia ya Mto Ruaha kikiwa katika moja ya skimu za umwagiliaji Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya<!--[if gte mso 9]>

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.