Habari za Punde

Uimarishaji wa Mazingira ya Bustani Zenj.

Wafanyakazi wa utunzaji wa bustani baraza la manispa ya Zanzibar wakiimarisha zoezi la uboreshaji wa mazingira ya bustani ya barabara ya Michenzani zanzibar kuiweka katika hali ya kupendezesha barabara hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.