Habari za Punde

Ujenzi wa Kituo cha Afya Katika Kijiji cha Mgonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ukiwa Katika Hatua za Mwisho wa Ujenzi Wake..

Ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kijiji cha Mgonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja ukiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo na kutowa faraja kwa Wananchi wa kijiji hicho waliokuwa wanapata huduza za afya na mama katika kijiji cha upenja na kiwengwa. Wananchi wa kijiji hicho wakiwa na faraja na furaha kwa kupata kituo hicho cha afya kitawapunguzia masafa marefe kufuata huduma hiyo.
Sehemu ya ndani ya kituo hicho cha afya mgonjoni. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.