Habari za Punde

Waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mwanakwerekwe Zanzibar Wakiiadhimisha Ijumaa Kuu Kwa Igizo la Mateso ya Yesu Wakati wa Ibada ya Ijuma Kuu.

Vijana wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mwanakwerekwe Zanzibar wakiadhimisha ya Ibada ya Ijumaa Kuu kwa Igizo la mateso yaliomkuta Yesu Kristo. Wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu Ibada iliongozwa na Mchungaji Shukuru Maloda.

Waumini wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Mwanakwerekwe Zanzibar wakifuatilia igizo hilo la mateso ya Yesu. wakati wa Ibada ya Ijuma Kuu iliofanyika kanisani hapo Ibada iliyoongozwa na Mchungaji Shukuru Maloda.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.