Habari za Punde

Zoezi la Mradi wa Ujenzi wa Mitaro wa Maji Machafu katika Mji wa Zanzibar Likiendelea na Ujenzi Huo.

Mradi wa Ujenzi wa Mitaro ya maji machafu katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar ukiendelea na ujenzi huo katika maeneo ni kero kwa  wananchi wakati wa mvua za masika hujaa maji na kulazimika wananchi wa maeneo hayo kuhama katika maeneo yao kwa kujaa kwa maji.Kama inavyoonekana picha mafundi wa kampuni inayosimamia mradi huo wakiendelea na ujenzi wa mtaro huo katika eneo la Jang'ombe Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.