MMOJA wa Vitalu vya Serikali
Kisiwani Pemba, ambavyo vimeatikwa miti ya aina mbali mbali Kisiwani Pemba,
Vikiwa Tayari kwa miche hiyo kutolewa na kwenda kupandwa.(PICHA NO:SAID ABRAHMAN,PEMBA)
WAZIRI wa Kilimo, Maliasili, Mifogo na Uvuvi Mhe:Hamad
Rashid Mohammed, akimkabidhi mche wa Mikarafuu mmoja wa wakulima wa zao hilo
Kisiwani Pemba, katika zoezi la utoaji wa miche hiyo Kisiwani Pemba.(PICHA NO:SAID ABRAHMAN,PEMBA)
MICHE mbali mbali ya
Mikarafuu ambayo imo katika vitalu vya Serikali Kisiwani Pemba, vikiwa tayari
kwa ajili ya kupandwa kwa miche hiyo.(PICHA
NO:SAID ABRAHMAN,PEMBA)
WAZIRI wa Kilimo, Maliasili,
Mifogo na Uvuvi Mhe:Hamad Rashid Mohammed, akiangalia miche mbali mbali ya
Mivinje ambayo tayari kwa kutolewa na serikali miti hiyo kwa ajili ya kupandwa.(PICHA NO:SAID ABRAHMAN,PEMBA)
MICHE mbali mbali ya
Mikarafuu ambayo imo katika vitalu vya Serikali Kisiwani Pemba, vikiwa tayari
kwa ajili ya kupandwa kwa miche hiyo.(PICHA
NO:SAID ABRAHMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment