Habari za Punde

Harakati za Sherehe za Sikukuu ya Eid Fitri Viwanja vya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Muonekano wa uwanja wa Skukuu ya Eid El Fitri katika viwanja vya Mnazi Mmoja kama unavyoonekana pichani wakati wananchi wakisherehekea Sikukuu hiyo inayofanyika baada ya Mwezi wa Mfungo wa Ramadhini huadhimishwa na Waumini wa Dini ya Kiislamu Duniani kote.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.