Habari za Punde

MKUTANO WA KAMATI NDOGO YA USALAMA WA RAIA YA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA.

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya, akizungumza wakati wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC), uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Masuala ya  Siasa,Ulinzi na Usalama wa  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Jorge Cardoso, akizungumza wakati wa  Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya hiyo,uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo jijini Dar es Salaam
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya, akiongoza Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,Kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala.Mkutano huo umefanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Profesa Jean Kitembo Mbilika  ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu kutoka Malawi,Michael Gama ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Naibu  Mkuu wa Uhamiaji kutoka nchini Swaziland,Makhosi Simelane  ,akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Naibu Balozi wa Zimbabwe nchini, Walter Sande akichangia hoja wakati waMkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC),uliofanyika  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Hassan Simba Yahya(wapili kulia), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Kamati Ndogo ya Usalama wa Raia ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Watatu kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini, Dk. Anna Makakala.Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere,leo  jijini Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)


IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.